Siyu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Siyu ni eneo la makazi ya pwani ya kaskazini ya Kisiwa cha Pate, ndani ya Visiwa vya Lamu katika Pwani ya Kenya.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Historia
Umri wa Siyu haujulikani, lakini unaweza kuwa wa karne ya 13.
Kuna baadhi ya mahesabu yanayotaja meli ya Kichina ya Zheng iliyozama karibu na Kisiwa cha Lamu nchini Kenya mwaka 1415.[1]
Walionusurika walikaa kisiwani na kuoa wanawake wenyeji. Hii imethibitishwa hivi karibuni na akiolojia kwenye kisiwa hicho ambayo imesababisha kupatikana kwa ushahidi wa kupendekeza uhusiano huu.
Uchunguzi wa vinasaba uliofanyika kwa baadhi ya wakazi kutoka Siyu unaonyesha kuwa kweli wana mababu wa Kichina.[2][3]
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads