Skapulari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Skapulari (kutoka neno la Kilatini scapulae, "mabega") ni vazi la Kikristo linalong'inginia kutoka shingoni.
Zipo aina mbili: ile ndefu kwa ajili ya wamonaki[1][2] na nyingine fupi sana (pengine ni vipande vidogo vya kitambaa vilivyounganishwa kwa kamba) kwa ajili ya walei wanaoshiriki namna yao karama ya utawa fulani[3][4][5][6][7][8][9].
Rangi inatofautiana kadiri ya shirika.
Remove ads
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads