Citeaux
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Citeaux ni abasia (kwa Kifaransa: Abbaye de Cîteaux) ya Kanisa Katoliki huko Saint-Nicolas-lès-Cîteaux, kusini kwa Dijon, Ufaransa. Ni maarufu kama chanzo (1098) cha urekebisho wa umonaki wa Kibenedikto ulioenea haraka kila mahali katika karne ya 12, hasa kutokana na mvuto wa mwanashirika Bernardo wa Clairvaux.
Hata hivyo waanzilishi wake walikuwa Robati wa Molesme, Stefano Harding na Alberiko wa Citeaux.
Siku hizi inakaliwa na Watrapisti (ufupisho wa jina la Kilatini la shirika lao ni OCSO, Ordo Cistercensium Strictae Observantiae) wasiopungua 35.
Remove ads
Marejeo
- Plouvier, M. and Saint-Denis, A. (eds.), 1998: Pour une histoire monumentale de Cîteaux, 1098-1998 (Commentarii cistercienses. Studia et documenta, 8), Cîteaux.
Viungo vya nje
- Official site (in French)
- History of Cîteaux Abbey (in French)
Picha
- Photo Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Abbey Stamp Archived 2008-03-07 at Archive-It
- Illumination of an Abbey Manuscript Ilihifadhiwa 18 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Citeaux kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads