Slim Burna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gabriel Soprinye Halliday (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Slim Burna; amezaliwa Essex, 11 Aprili 1988) ni rapa, mwimbaji na mtayarishaji wa rekodi kutoka Port Harcourt, Rivers State, Nigeria.
'
Mwaka 2013, alitoa albamu mixtape yake ya kwanza iliitwa I'm on Fire.[1][2]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads