So Sick
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"So Sick" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa R&B–pop wa Kimarekani-Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na watayarishaji wa Kinorwei maarufu kama Stargate kwa ajili ya albamu ya kwanza ya In My Own Words.
Wimbo huu ulitoka ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu hiyo ya In My Own Words. Hii ilifanya vyema katika chati za muziki duniani, kwa kufikia namba moja katika Marekani na Uingereza. Na pia ndiyo kibao pekee cha Ne-Yo kilichofanya vyema dunia nzima.
Remove ads
Video yake
Video ya wimbo huu wa "So Sick", uliongozwa na Bw. Hype Williams, imeonekana kuwa na mzunguko mkubwa sana katika BET na MTV. Video mbili zilipigwa kwa ajili ya wimbo huu. Toleo halisi la video hii ilishia ikiwa bado na marekebisho kadha wa kadha. Toleo jipya la video ya wimbo huu linaonekana kupigiwa wakati wa baridi kali na ilipigiwa katika milima ya theluji.
Chati
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads