Stay

From Wikipedia, the free encyclopedia

Stay
Remove ads

"Stay" ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya Ne-Yo ya In My Own Words. Albamu imepata kumshirikisha rapa Peedi Peedi na ilitayarishwa na Ron "Neff-U" Feemstar.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...

Video ya "Stay" ilipata kurushwa hewani na BET na VH1 kunako mwezi wa Septemba ya mwaka wa 2005, na katika TRL ilikwenda kunako mwezi Novemba 2005. Wimbo huu ulifeli kuingia katika chati za Billboard Hot 100 bora pale ulitolewa kwa mara ya kwanza nchini Marekani kunako 2005, japokuwa, wimbo umehakikiwa kufanya vizuri katika chati za muziki wa R&B, kwa kushika na ya 36, na kuufanya kuwa wimbo pekee wa Ne-Yo kufanya hovyo katika medani ya muziki huo akiwa kama msanii wa kujitegemea.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

CD:
  1. "Stay" (akimshirikisha Peedi Peedi) (ina kurap kwa ajili ya redio)
  2. "Stay" (toleo rasmi)
12" Vinyl
  1. "Stay" (akimshirkisha Peedi Peedi)

Charts

Maelezo zaidi Chati (2005), Imeshika nafasi ...

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads