Spiceworld

From Wikipedia, the free encyclopedia

Spiceworld
Remove ads

Spiceworld ni albamu ya pili ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mwaka wa 1997. Jina hili pia ni jina la filamu yao iitwayo Spiceworld The Movie. Albamu hii ilipata kuwa mashuhuri sana ulimwenguni, na kuthubutu hata kuitwa homa ya "Spicemania" kwa kipindi hicho. Albamu imetoa single tatu babkubwa zilizoingia kwenye ishirini bora za Marekani, single nne kali zilizoingia kwenye chati za UK, na single zilizoshika namba moja katika tano bora za Asia. Albamu imeuza kopi milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima.[1] Hii pia ilikuwa albamu ya mwisho kumshirikisha Geri Halliwell hadi hapo walipokuja kutoa albamu ya vibao vikali ya Greatest Hits miaka 10 baadaye, mnamo 2007.

Ukweli wa haraka Studio album ya Spice Girls, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

Maelezo zaidi #, Title ...
Remove ads

Matunukio, vilele, na mauzo

Maelezo zaidi Chati, Kilele ...

Single

Maelezo zaidi Mwaka, Single ...
Remove ads

Tanbihi na marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads