Stefano II wa Antiokia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Stefano II wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 479) alikuwa askofu mkuu wa Antiokia[1] kuanzia mwaka 477[2] aliyesumbuliwa sana wa Wakristo waliokataa Mtaguso wa Kalsedonia, hadi kifodini chake[3][4] alipotoswa na wazushi hao katika mto Oronte wakati wa kaisari Zeno[5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 25 Aprili.[6]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads