Sulpisi na Servisyani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sulpisi na Servisyani ni Wakristo waliouawa mjini Roma kutokana na dhuluma ya serikali ya Dola la Roma[1].

Tang kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Aprili[2].

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads