Sumu la penzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sumu la penzi ni tamthilia ya Kiswahili kutoka nchini Kenya.

Ukweli wa haraka Aina, Imetungwa na ...

Imetayarishwa na kampuni Spielswork Media na msimamizi mkuu ni Dorothy Ghettuba, ikiwashirikishwa waigizaji wafuatao: Serah Ndanu, Naomi Ng'ang'a, Avril Nyambura na Joyce Maina.

Remove ads

Wahusika

  • Serah Ndanu[1] - Mariam
  • Naomi Ng'ang'a - Ama
  • Avril Nyambura - Eva
  • Joyce Maina[2] - Tindi[3]
  • Davidson Ngibuini[4] - Tash
  • Pieter Desloovere - Hans
  • Peter Kawa - Oscar
  • Norbert Ouma - Solomon
  • Peterson Gathambo - Martin
  • Bilal Ndegwa - Mr Rent
  • Sherylene Mungai - Debrah
  • Lucy Waigera - Olive
  • Nina Adegala - Cynthia
  • Antony Makau - Mwanabiashara Mwenza[5]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads