Susan Anselm Jerome Lyimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Susan Anselm Jerome Lyimo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads