Swithun Wells
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Swithun Wells (Otterbourne, Hampshire, Uingereza, 1536 hivi – London, 10 Desemba 1591) alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki ambaye aliuawa kwa kunyongwa kwa sababu alificha mapadri waliofanya utume nchini kinyume cha sheria[1].

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads