Sylvester Stallone

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sylvester Stallone
Remove ads

Sylvester Gardenzio Stallone[1] (amezaliwa tar. 6 Julai 1946), amepewa jina la utani kama Sly Stallone,[2] ni mshindi wa Tuzo za Academy - akiwa kama mwigizaji, mwongozaji na mwindishi-skrini bora wa filamu wa Kimarekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...

Huyu ni mmoja kati wa watu walioingiza fedha nyingi sana katika sanduku la ofisi kwa miaka ya 1970 na 1990. Sylvester Stallone, ni kioo na shujaa wa filamu za mapigano. Amecheza nyusika mbili ambazo ni mashuhuri sana: Rocky Balboa, mwana-masumbwi mmoja aliyeshinda mashindano kwa kupigana kwa upenzi na imani, na John Rambo, askari shupavu aliyefanya kazi za hatari vitani.

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads