Tadayo Liu Ruiting

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tadayo Liu Ruiting
Remove ads

Tadayo Liu Ruiting (Qunglai, 1773 hivi - Quxiyan 30 Novemba 1823) alikuwa padri wa China aliyenyongwa na watu waliochukia imani ya Ukristo [1].

Thumb
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu mfiadini mwaka 2000.

Sikukuu yake na ya wenzake 119 huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads