Tai

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tai
Remove ads

Tai ni ndege mbua wakubwa wa familia Accipitridae. Wana makucha marefu ili kukamata uwimbo na domo kubwa lenye ncha kwa kulabu ili kupapura nyama. Uwezo wao wa kuona kwa macho ni mzuri kabisa na hutambua windo kwa mbali sana. Tai hujenga tago lao juu ya miti mirefu au magenge marefu. Pengine hutumika kwa uwindaji wa vipanga.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads