Talalei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Talalei (au: Talelao; kwa Kigiriki: Θαλέλαιος au Θαλλέλαιος, Thalelaios au Thallelaios; Foinike, leo Lebanoni, 265 hivi - Ayas, Kilikia, Uturuki wa leo, 284) alikuwa tabibu Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads