Tandale

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tandale
Remove ads

Tandale ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14106.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Tandale, Novemba 2012

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 43,374 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 45,058 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads