Tango
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tango ni tunda mojawapo lenye maji mengi (kama vile tikitimaji) ambalo linabeba virutubisho kama vile Vitamini B, C, K, Potassium na Manganese.

Mmea wake, mtango, una jina la kisayansi Cucumis sativus na una asili ya India.
![]() |
Makala hii kuhusu "Tango" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads