Tanka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tanka
Remove ads

Tanka (pia: Tanche; aliishi Troyes, Ufaransa akafariki huko 637 hivi) alikuwa bikira aliyetetea hali hiyo dhidi ya mshawishi hadi akauawa naye kwa kukatwa kichwa [1][2].

Thumb
Sanamu yake katika kanisa Sainte-Tanche huko Lhuître.

Tangu kale[3] anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Oktoba[4][5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads