Tarime
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarime ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Tarime ilihesabiwa kuwa 29,339 [1].

Mwaka 2012 kata ya Tarime Mjini iligawiwa kuwa kata za Bomani, Sabasaba na Nyamisangura.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads