Taulo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Taulo
Remove ads

Taulo (kutoka Kiingereza "towel") ni kitambaa aghalabu ya pamba kinachotumiwa kufuta maji hasa baada ya kuoga kwa sababu nyuzinyuzi zake zinaweza kunyonya na kukausha mwili.

Thumb
Rundo la taulo za rangi
Thumb
Nyuzinyuzi za taulo.
Thumb
Taulo ya pwani.
Thumb
Taulo ya Tunisia.

Kuna aina nyingi za taulo, kama vile taulo ya kufutia maji na taulo ndogo ya kuoshea vyombo baada ya kula.

Matumizi ya taulo

  • 1) Kujifutia maji.
  • 2) Kufuta vyombo.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taulo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads