Tchenzema

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tchenzema ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67316.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 3,964 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,229 [2] walioishi humo, wakiwemo hasa Waluguru.

Upande wa dini, wengi wao ni Wakristo wa Kanisa Katoliki.

Watu wa Tchenzema wamejikita zaidi kwenye kilimo.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads