Telegram
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Telegram ni programu ya mawasiliano ya papo hapo inayomruhusu mtumiaji kutuma ujumbe, picha, sauti, na faili zingine kwa watumiaji wengine. Ni sawa na programu nyingine za ujumbe kama WhatsApp, lakini ina baadhi ya sifa tofauti kama vile uwezo wa kuunda makundi makubwa ya watu, kushiriki faili kubwa, na mfumo wa kuhifadhi mazungumzo kwenye cloud ili uweze kuyapata kutoka vifaa tofauti. Pia, Telegram inajulikana kwa kutoa faragha zaidi na ina chaguo la kujifuta meseji kiotomatiki. Ni maarufu kwa ushirikiano wa kimataifa na pia inatumiwa na makundi mengi kama njia ya mawasiliano[1][2].

Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads