Tertulino

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tertulino (alifariki Roma, Italia) alikuwa Mkristo wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads