Theobadi wa Dorat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theobadi wa Dorat (La Bazeuge, 990 hivi - Dorat, 6 Novemba 1070) alikuwa kanoni wa Dorat, aliyepewa kazi ya kusimamia kanisa akawa maarufu kwa sababu hakuliacha kamwe, isipokuwa kwa kutembelea na kuhudumia wagonjwa[1][2] [3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads