Theodoreto wa Antiokia

Mtakatifu Anatolia From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Theodoreto wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 22 Oktoba 362[1]) alikuwa padri aliyefia imani ya Ukristo kwa kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi wa Dola la Roma[2][3].

Thumb
Mt. Theodoreto alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[4].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads