This Is Me... Then

From Wikipedia, the free encyclopedia

This Is Me... Then
Remove ads

This Is Me... Then ni albamu ya tatu kutoka kwa mwimbaji Jennifer Lopez, iliyotolewa mnamo Novemba 2002. Albamu hii ilikuwa namba sita kwenye chati ya Billboard 200 na iliuza zaidi ya nakala 314,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda ya wiki 12 na kwenye chati kwa muda ya wiki 37. Imeuza zaidi ya nakala milioni 2.5 nchini Marekani[2] na zaidi ya nakala milioni sita kote duniani.[3]

Ukweli wa haraka Studio album ya Jennifer Lopez, Imetolewa ...

Albamu hii ilitoa singles nne: "Jenny from the Block", "All I Have", "I'm Glad" and "Baby I Love U!".

Remove ads

Nyimbo zake

Maelezo zaidi #, Jina ...

Toleo la Ulaya na Mexico

  1. "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) (Lopez, Oliver, Rooney, Barnes, Olivier, Cheryl Lorraine Cook, Ronald LaPread) – 2:52

Toleo la Brazil

  1. "Jenny from the Block" (Album Version Without Rap) – 2:49

Toleo la Uingereza

Released on 22 Machi 2004

  1. "I'm Gonna Be Alright" (Track Masters Remix featuring Nas) – 2:52

Toleo la ziada

  1. "Jenny from the Block" (Seismic Crew's Latin Disco Trip) – 6:41
  2. "All I Have" (Ignorants Mix featuring LL Cool J) – 4:03
  3. "I'm Glad" (Paul Oakenfold Perfecto Remix) – 5:47
  4. "The One" (Bastone & Burnz Club Mix) – 7:40
  5. "Baby I Love U!" (R. Kelly Remix) – 4:11
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Namba, Chart (2003) ...

Thibitisho

Maelezo zaidi Nchi, Anayetoa ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads