Thomas Ulimwengu

Mwanasoka wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Thomas Emmanuel Ulimwengu ,(alizaliwa 14 Juni 1993), ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anacheza timu ya Tanzania Soccer Academy na pia hucheza timu ya taifa ya Tanzania na timu ya Taifa U-20 ya Tanzania, yaani, chini ya miaka 20.

Ukweli wa haraka Maelezo binafsi, Maelezo ya klabu ...
Remove ads

Timu ya taifa ya Tanzania U-17

Katika mashindano ya Cecafa 2009 U-17 Championship yaliyofanyika Sudan alijinyakulia ubingwa wa mfungaji bora katika mashindano hayo. Timu yake ya taifa ya Tanzania ilichukua nafasi ya Tatu katika mashindano hayo.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Ulimwengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads