14 Juni
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 14 Juni ni siku ya 165 ya mwaka (ya 166 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 200.
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1868 - Karl Landsteiner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930
- 1924 - James Black, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 1946 - Donald Trump, mfanyabiashara na Rais wa Marekani
- 1993 - Thomas Ulimwengu, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1905 - Tippu Tip, mfanyabiashara kutoka Tanzania
- 1914 - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-1897)
- 1968 - Salvatore Quasimodo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959
- 1986 - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Elisha, Proto wa Aquileia, Valeri na Rufini, Fortunati wa Napoli, Eteri wa Vienne, Metodi I wa Konstantinopoli, Anastasi, Felisi na Digna n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads