Thoma wa Cori
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Thoma wa Cori (jina la kuzaliwa: Francesco Antonio Placidi; Cori, Latina, 4 Juni 1655 - Bellegra, Roma, 11 Januari 1729) alikuwa padri na mhubiri maarufu wa shirika la Ndugu Wadogo aliyeanzisha makao mbalimbali upwekeni na kuishi kwa toba kali huko Italia ya Kati [1][2].


Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 21 Novemba 1999, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads