Ticino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ticino ni moja ya majimbo yanayounda shirikisho la Uswisi.



Mji mkuu wake ni Bellinzona.
Wakazi wengi wanaongea Kiitalia na ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.
Tazama pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ticino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads