Bellinzona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bellinzona ni mji uliopo nchini Uswisi katika jimbo la Ticino.
Mnamo Januari 2019 ulikuwa na wakazi 43,000 [1].
Ngome zake tatu zimeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads