Jimbo la Tigray

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo la Tigray
Remove ads

Jimbo la Tigray (pia: Tigre) ni jimbo la Ethiopia ya kaskazini na sehemu za nyanda za juu.

Thumb
Tigray, Ethiopia
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Remove ads
Thumb
Kilimo.

Makao makuu ni Mekelle.

Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kitigre au Kitigrinya. Idadi kubwa hufuata Ukristo wa Waorthodoksi wa mashariki, lakini kuna Waislamu pia.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi alikuwa mwenyeji wa Tigray.

Mji muhimu wa kihistoria ni Aksum ambapo ni chanzo cha Ethiopia.

Mji wa Adowa upo Tigray vilevile. Mwaka 1896 uvamizi wa Italia ulishindikana katika mapigano ya Adowa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Tigray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ethiopia ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads