Tikhon wa Moscow
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tikhon wa Moscow (kwa Kirusi: Тихон Московский; jina la awali: Василий Иванович Беллавин, Vasily Ivanovich Bellavin; Klin, 31 Januari 1865 – Moscow, 7 Aprili 1925) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi. Tarehe 5 Novemba 1917 alichaguliwa kuwa Patriarki wa 11 wa Moscow na Urusi wote, wa kwanza baada ya miaka 300 ya Kanisa hilo kuongozwa na Sinodi tu.

Mwaka 1989 alitangazwa na Kanisa lake kuwa mtakatifu, na anaheshimiwa hivyo na Waanglikana wa Marekani pia, alikowahi kufanya kazi ya umisionari.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads