Tikisa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tikisa
Remove ads
Remove ads

Tikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...

Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hao ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri.

Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha nyasi ardhini.

Remove ads

Spishi za Afrika

  • Motacilla aguimp, Tikisa-majumba (African Pied Wagtail)
  • Motacilla alba, Tikisa Mweupe (White Wagtail)
  • Motacilla bocagii, Tikisa Mkia-mfupi wa Sao Tome (São Tomé Shorttail)
  • Motacilla capensis, Tikisa Kusi (Cape Wagtail)
  • Motacilla cinerea, Tikisa Kijivu (Grey Wagtail)
  • Motacilla citreola, Tikisa Manjano (Citrine Wagtail)
  • Motacilla clara, Tikisa-milima (Mountain Wagtail)
  • Motacilla flava, Tikisa Njano (Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. beema, Tikisa wa Sykes (Sykes's Wagtail)
    • Motacilla f. cinereocapilla, Tikisa Kichwa-kijivu (Ashy-headed Wagtail)
    • Motacilla f. feldegg, Tikisa Kichwa-cheusi (Black-headed Wagtail)
    • Motacilla f. flava, Tikisa Kichwa-buluu (Blue-headed Wagtail)
    • Motacilla f. flavissima, Tikisa Utosi-njano (Yellow-crowned Wagtail)
    • Motacilla f. iberiae, Tikisa wa Hispania (Iberian Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. leucocephala, Tikisa Kichwa-cheupe (White-headed Wagtail)
    • Motacilla f. lutea, Tikisa Kichwa-njano (Yellow-headed Wagtail)
    • Motacilla f. pygmaea, Tikisa wa Misri (Egyptian Yellow Wagtail)
    • Motacilla f. thunbergi, Tikisa wa Thunberg (Dark-headed Wagtail)
  • Motacilla flaviventris, Tikisa wa Madagaska (Madagascar Wagtail)
Remove ads

Spishi za Asia

Remove ads

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads