Timothy Apiyo
Mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Timothy Apiyo (1930 - 10 Juni 2013) alikuwa mwanasiasa na Katibu Mkuu Kiongozi [1] nchini Tanzania .[2]
Elimu
Timothy Apiyo alizaliwa katika wilaya ya Tarime mwaka 1930, mwaka 1959 alipata shahada ya Kilimo katika Chuo Kikuu cha Makerere.
Kifo
Apiyo alifariki Afrika Kusini mwaka 2013 kwa ugonjwa wa mapafu[3].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads