Tirich Mir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tirich Mir ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,690 juu ya usawa wa bahari. Ni mrefu kuliko milima yote ya Hindu Kush.

Uko nchini Pakistan.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tirich Mir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads