Tlaxcala (jimbo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tlaxcala (IPA: [tlasˈkala]) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni Tlaxcala na mji mkubwa ni Vicente Guerrero.



Imepakana na Mexico (jimbo), Hidalgo na Puebla. Jimbo lina wakazi wapatao 1,068,207 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,016.
Gavana wa jimbo ni Héctor Ortiz Ortiz.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Remove ads
Miji Mikubwa
- Vicente Guerrero (55,760)
- Apizaco (49,459)
- Huamantla (47,286)
- Chiautempan (46,776)
Viungo vya Nje
- (Kihispania) Estado de Tlaxcala Sitio oficial
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tlaxcala (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads