Tomas Tranströmer

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tomas Tranströmer
Remove ads

Tomas Tranströmer (amezaliwa 15 Aprili, 1931 mjini Stockholm) ni mshairi, mwanasaikolojia na mfasiri kutoka nchi ya Uswidi. Hasa ameandika mashairi kuhusu majira ya baridi nchini mwake. Mwaka wa 2011 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Thumb
Thumb
Tomas Tranströmer

Maandishi yake

  • 17 dikter ("Mashairi kumi na saba", 1954)
  • Hemligheter på vägen ("Siri njiani", 1958)
  • Fängelse ("Gereza", 2001)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomas Tranströmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads