15 Aprili

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 15 Aprili ni siku ya 105 ya mwaka (ya 106 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 260.

Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Matukio

  • 769 - Mtaguso wa Laterano unalaani maamuzi ya mtaguso wa Hieria kuhusu heshima kwa picha takatifu

Waliozaliwa

Remove ads

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Theodori na Pausilipi, Kresenti wa Myra, Maroni mfiadini, Abondi wa Roma, Paterni wa Avranches, Ortari, Kaisari wa Bus, Damiani wa Molokai n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads