Trilojia ya Dollars
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Trilojia ya Dollars (Kiitalia: Trilogia del dollaro), pia inajulikana kama Man with No Name Trilogy, ni mfululizo wa filamu unaojulisha filamu tatu za mtindo wa Spaghetti Western ambazo zote zimeongozwa na Sergio Leone. Filamu hizo ni zinaitwa A Fistful of Dollars (1964), For a Few Dollars More (1965) na The Good, the Bad and the Ugly (1966). Zilisambazwa na United Artists.
Mfululizo huu umekuwa maarufu mno kwa ajili ya kuanzisha mtindo wa Spaghetti Western, na kupelekea kuvutia utengenezwaji wa filamu zingine kedekede za Spaghetti Western hapo baadaye. Filamu hizi tatu zimekuwa moja kati ya filamu zizilitolewa tahakiki bab-kubwa kwa muda wote katika filamu za western.[1]
Ijapokuwa haikuwa nia ya Leone, filamu hizi tatu zimehesabiwa kama trilojia hasa kwa kufuatia uhusika wa maarufu wa "Man with No Name" (uliochezwa na Clint Eastwood, akivaa nguzo zilezile na kucheza katika muadhui yaleyale katika filamu zote tatu). Wazo la The "Man with No Name" lilivumbuliwa na wasambazaji wa Kimarekani wa United Artists, akitafuta pembe maridhawa ili waweze kuuza nakala nyingi ya filamu hii ikiwa kama trilojia. Uhusika wa Eastwood umekuwa wa majina mengi katika filamu hizi ambapo katika kila filamu aliitwa majina tofauti ikiwa ni pamoja na: "Joe", "Manco" na "Blondie".
Remove ads
Waigizaji pekee walionekana katika filamu zote tatu ukiacha Eastwood ni Mario Brega, Aldo Sambrell, Benito Stefanelli na Lorenzo Robledo. Waigizaji wengine wanne wameonekana mara mbili katika trolijia ni pamoja na : Lee Van Cleef, Gian Maria Volontè, Luigi Pistilli, na Joseph Egger.
Mtunzi wa muziki ni Ennio Morricone ametengeneza muziki halisi wa filamu zote tatu, ijapokuwa katika A Fistful of Dollars alitajwa kama "Dan Savio."[2][3]
Washiriki orodha kamili
Kikosi kazi
Remove ads
Mapokezi
Mapokezi ya kitahakiki
Matokeo ya Box office
Tuzo
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads