Trondheim

manisipaa ya Trøndelag katika Norwei From Wikipedia, the free encyclopedia

Trondheim
Remove ads

Trondheim (kwa Kisaami cha Kusini: Tråante) ni manispaa na mji wa Sør-Trøndelag, jimbo la Norwei. Mji una wakazi 198,219 (mnamo Oktoba 2019). Trondheim ni mji mkubwa wa tatu nchini Norwei.

480

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Remove ads
Thumb
Kanisa kuu la Nidaros (Nidarosdomen).

Trondheim ni mji mkuu wa jimbo la Sør-Trøndelag. Vyuo vikuu vya NTNU na Høgskolen i Sør-Trøndelag (HiST) viko Trondheim.

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trondheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads