Sør-Trøndelag

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sør-Trøndelag
Remove ads

Sør-Trøndelag ("Trøndelag kusini") ni jimbo nchini Norwei. Jimbo linachangamana na jimbo la Nord-Trøndelag kaskazini, Wilaya ya Jämtland katika Uswidi mashariki na Hedmark, Oppland na Møre og Romsdal kusini. Sør-Trøndelag lina manispaa 25, na eneo ya 18,839 km².

Ukweli wa haraka Nchi, - Aina ya serikali ...
Thumb
Jimbo la Sør-Trøndelag nchini Norwei
Remove ads

Manispaa

Maelezo zaidi Jina, Idadi ya wakazi ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads