Kisiwa cha Tumbatu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kisiwa cha Tumbatu ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Kaskazini A, mkoa wa Unguja Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads