Torino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Torino ni mji wa Italia katika mkoa wa Piemonte. Ndio makao makuu ya mkoa.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2015, mji una wakazi wapatao 892,649 wanaoishi katika mji huu[1]. Mji upo m 240 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads