Two in One
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Two in One ni wimbo wa kwanza kutoka albamu ya Two in One ya kundi la muziki wa taarab la Jahazi Modern Taarab. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2007, ikiwa chini ya utunzi, uimbaji na utayarishaji wake Mzee Yusufu.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya nje
Video ya Twon In One katika YouTube
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Two in One kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads