21 Questions

From Wikipedia, the free encyclopedia

21 Questions
Remove ads

"21 Questions" ni wimbo ulioimbwa na rapa 50 Cent. Nyimbo pia imemshirikisha rapa mwingine Bw. Nate Dogg, ambaye ametia vionjo kadhaa katika nyimbo. Sana-sana katika kiitikio, lakini katika kutaja wimbo huu haitajwi kama wimbo umeimbwa na 50 Cent na Nate Dogg, yeye aliuza sura tu.

Ukweli wa haraka Single ya 50 Cent kutoka katika albamu ya Get Rich or Die Tryin', Imetolewa ...

Nyimbo ilitungwa na mwenyewe 50 Cent, K. Risto, J. Cameron, na V. Cameron kwa ajili ya albmu ya 50 Cent ya Get Rich or Die Tryin' ya mwaka wa 2003. Single ilitoka mnamo mwaka wa 2003 ikiwa kama single ya pili kutoka katika albamu hiyo, na ikawa single yake ya pili kushika nafasi ya kwanza katika nchi ya Marekani baaada ya "In Da Club".

Na ikafanikiwa kushika nafasi ya sita katika chati za single za Uingereza, wakati "In Da Club" ilikuwa nafasi ya 23, ikampa heshma kubwa na kufanya kuwa na single kwa wakati katika 30 bora za UK. Nyimbo ilitayarishwa na Bw. Dirty Swift na kufuata mfano wa nyimbo ya Barry White ya "It's Only Love Doing Its Thing.

Remove ads

Orodha ya nyimbo

  • Single za CD
  1. 21 Questions (toleo kwa ajili ya albamu)
  2. Soldier (50 Cent na G-Unit wamefanya michano)
  3. 21 Questions (moja kwa moja kutoka New York)
  4. 21 Questions (video yake)

Remix yake

Remix yake ilitolewa ikiwa imemshirikisha mwimbaji wa Kimarekani wa R&B Bi. Monica.

Wahusika na ukamilishaji wa nyimbo

  • Mtayarishaji: Dirty Swift
  • Kuiweka sawa na: Dr. Dre
  • Imerekodiwa na: Sha Money XL na Maurico "Veto" Iragorri
  • Imeandaliwa na: Carlise Young
  • Imesaidiwa na: Ruben Rivera

Chati

Maelezo zaidi Nafasi iliyoshika ...
Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads