We Takin' Over
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
We Takin' Over" ni nyimbo ya hip-hop ya DJ Khaled. Nyimbo ilitoka ikiwa kama single yake ya kwanza kutoka albamu yake ya We the Best. Nyimbo imeshirikisha vichwa ngumu kama Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, Birdman a.k.a "Baby" na Lil' Wayne, hao wote wameshiriki katika kukamilisha nyimbo hii.
Nyimbo ilitayarishwa na Danja. Nyimbo ilitolewa kupitia maduka ya iTunes ya Marekani kunako tarehe 27 Machi ya mwaka wa 2007 na kuthubutu kushika nafasi ya 51 katika chati za 100 bora za Billboard Hot kwa nyimbo za R&B/Hip-Hop hadi kufikia nafasi ya 28.
Ilikwenda katika chati za Billboard Hot kwa kipindi kilekile cha kutolewa kwa nyimbo - 14 Aprili 2007 na kushika nafasi ya 75, na ikaja kufikia hadi namba 26. Kwa upande wa chati za iTunes kwa nyimbo za Hip-Hop/Rap imeshika nafasi ya 12. Watu waliouza sura katika nyimbo hii alikuwa Pitbull, Junior Reid, Johnny Dang, T-Pain, Trina na Cool na Dre.[1]
Remove ads
Remix yake
Chati
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads