Ulf von Euler

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ulf von Euler
Remove ads

Ulf Svante von Euler-Chelpin (7 Februari 19059 Machi 1983) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswidi. Alikuwa mwana wa Hans von Euler-Chelpin. Hasa alichunguza neva. Mwaka wa 1970, pamoja na Bernard Katz na Julius Axelrod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulf von Euler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Ulf von Euler
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads