Şanlıurfa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Şanlıurfa (mara nyingi na katika lugha ya kila siku hujulikana kwa jina fupi kama Urfa; au kwa Kiaramu; Riha au Urhāy, kwa Kiarmenia Urhai, kwa Kiarabu الرها al-Raha; zamani ulikuwa ukitajwa kama Edessa) ni mji wenye wakazi takriban 462,923 (makadirio ya mwaka wa 2006[1]).

Mji upo kilomita 80 upande wa mashariki mwa mto Frati, kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, na ndio makao makuu ya Mkoa wa Şanlıurfa.
Hali ya hewa ni ya joto mno, kiangazi kikavu na baridi kiasi.
Idadi kubwa ya wakazi wa mji ni Wakurdi wakati maeneo mengine ya kanda kuna mchanganyiko wa Waarabu na Waturuki na idadi ndogo kabisa ya Wazaza, Wayezidi, Waarmenia na Wayahudi.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads